1/6
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 0
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 1
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 2
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 3
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 4
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika screenshot 5
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika Icon

Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

AfroTech Studios
Trustable Ranking IconOfficial App
1K+التنزيلات
9MBالحجم
Android Version Icon4.1.x+
إصدار الأندرويد
1.0.3(06-11-2021)الإصدار الأخير
-
(0 المراجعات)
Age ratingPEGI-3
تنزيل
التفاصيلالمراجعاتالنُّسَخالمعلومات
1/6

وصف لـChef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya aina mbalimbali. Tumejikita zaidi kwa aina ya vyakula vinanavyopendwa sana jamii za Kiafrika.

Tunafundisha namna ya kutayarisha vyakula vikuu, vitafunio, vitoweo, vinywaji na supu. Tunatumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha mada na mafunzo yetu katika App yetu.

Ikiwa wewe ni mpishi na unapenda kujifunza zaidi kuhusu mapishi ya vyakula vya Kiafrika basi Chef Mapishi ni sehemu sahihi kujifunza.

Unaweza kuwashirikisha wenzio kwa kuwatumia App yetu au jina yaani "Chef Mapishi" na wao wajifunze mapishi ya Kitanzania na Afrika kwa ujumla.

Jiunge kwenye Grupu la Telegram kwa kutuma ujumbe kwenda namba hii.

Telegram - (+255) 0738265492

Email - zamototz@gmail.com.

Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika - إصدار 1.0.3

(06-11-2021)
نُسخ أخرى
ما الجديدChef Mapishi - App inayokupa elimu ya Upishi. App ina sifa zifuatazo:-> Hutolewa kwa Kiswahili na kwa asilimia chache ni Kiingereza.> Makala zinatumwa kwa wiki mara nne (4).> App itakupa ujumbe kila tunapotuma makala mpya.> Mapishi yote yanaendana na mazingira ya kitanzania na kiafrika.

لا توجد آراء أو تقييمات بعد! لترك أول تقييم يرجى

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika - معلومات APK

نُسخة APK: 1.0.3الحزمة: com.afrotechstudios.chefmapishi
التوافق مع أندرويد: 4.1.x+ (Jelly Bean)
المطور:AfroTech Studiosسياسة الخصوصية:https://fazaone.blogspot.com/p/android-privacy-policy.htmlالأذونات:9
الاسم: Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrikaالحجم: 9 MBالتنزيلات: 75الإصدار : 1.0.3تاريخ الإصدار: 2021-11-06 19:44:24
الشاشة: SMALLيدعم CPU نوع: عنوان الحزمة: com.afrotechstudios.chefmapishiتوقيع SHA1: AA:08:90:27:68:4E:05:FB:D0:89:8B:B1:8F:21:EE:EB:95:96:DF:4Dالشاشة: SMALLيدعم CPU نوع: عنوان الحزمة: com.afrotechstudios.chefmapishiتوقيع SHA1: AA:08:90:27:68:4E:05:FB:D0:89:8B:B1:8F:21:EE:EB:95:96:DF:4D

آخر إصدار من Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

1.0.3Trust Icon Versions
6/11/2021
75 التنزيلات9 MB الحجم
تنزيل

نُسخ أخرى

1.0.2Trust Icon Versions
4/1/2020
75 التنزيلات8.5 MB الحجم
تنزيل
appcoins-gift
ألعاب AppCoinsاربح المزيد من الجوائز!
المزيد